Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

PESA KUBWA IPO MERIDIANBET LEO…..ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

  • 18
Scroll Down To Discover

Wakali wa ubashiri Tanzania leo hii Meridianbet wanakwambia hivi nafasi ya wewe kushinda zaidi ya mamilioni ipo hapa. Mechi kibao za ushindi zipo hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti hapa.

LALIGA pale Hispania leo hii itaendelea ambapo Sevilla atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya CA Osasuna ambapo nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.60 kwa 3.10. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoka sare. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri hapa.

Pia mechi nyingine ni hii ya CD Leganes vs Girona ambao wametoka kuchapika vibaya mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Wote wanatafuta ushindi leo kujitoa kwenye nafasi za chini. Nani kuondoka na ushindi leo?. 3.10 kwa 2.60 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Nafasi ya kuwa bingwa unayo leo hii Meridianbet. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Baada ya Real Betis kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kusaka ushindi mwingine dhidi ya Real Valladolid ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Betis anahitaji ushindi hii leo kulipa kisasi leo baada ya kupigika mechi yao walipokutana. Bahiri mechi hii yenye ODDS 1.23 kwa 13.

Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya Rayo Vallecano huku mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Simeone anataka ushindi hii leo ili kushikilia nafasi aliyopo. Je pointi 4 msimu huu zitaenda wapi au timu zitagawana pointi. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 1.60 kwa 6.60. Tengeneza jamvi hapa.

Kule Italia kuna mechi nyingine ya Nusu Fainali ya COPPA ITALIA kati ya Bologna vs Empoli huku kwenye mechi ya kwanza walipokutana mgeni alipasuka. Hivyo leo hii anahitaji kulipa kisasi kwa kupindua meza. Je ataweza maana mlima ni mrefu. 1.47 kwa 7.20. Bashiri hapa.

The post PESA KUBWA IPO MERIDIANBET LEO…..ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post DIADORA YA ITALIA WALIVYOLAMBA DILI SIMBA KILAINIII…MKATABA NI ‘BAB’ KUBWA NCHI NZIMA..
Next Post Balozi Nchimbi Apiga Marufuku Wimbo Unaochochea Chuki Dhidi Ya Wapinzani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook