Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Ferrari Yatoa Jina la Gari Lake la Kwanza la Umeme “Luce” – Video

  • 23
Scroll Down To Discover


Ferrari imevunja utulivu wa wapenzi wa magari na tech baada ya kutangaza rasmi jina la gari lake la kwanza la umeme, lililokuwa likijulikana kwa jina la muda la “Elettrica.” Jina rasmi ni Luce (inavyotamkwa “LOO-chay”), neno la Kiitaliano lenye maana ya “mwanga.”

Katika tukio lililofanyika kwenye TransAmerica Pyramid, San Francisco, Rais wa Bodi ya Ferrari, John Elkann, alisema kuwa kumuita gari hili tu “electric Ferrari” kungepunguza uzito wa ubunifu na mradi wa kipekee uliokuwa ukifanywa kwa kizazi kimoja.

“Luce inakupa hisia za siku za usoni, hisia ya mwanga, kasi, ubunifu na mambo mengine mengi yaliyowezesha kuunda mradi huu wa ajabu,” alisema Elkann.

The post Ferrari Yatoa Jina la Gari Lake la Kwanza la Umeme “Luce” – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Dkt. Mwigulu Aongoza Kikao Cha Kamati Ya Kitaifa Ya Afcon 2027
Next Post Mwanachuo Mwaka wa Kwanza Mbaroni Kwa Kusafirisha Dawa Za Kulevya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook