Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Arejea Kutoka Mkutano wa Dunia wa Serikali

  • 34
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati akitokea Dubai, tarehe 6 Februari, 2026. alipokuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, akitokea Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 6 Februari 2026.

Rais alikuwa nchini humo kushiriki Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS 2026) pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa la Uwekezaji Afrika (Global Africa Investment Summit – GAIS), mikutano inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, ubunifu wa kiutawala na kuvutia uwekezaji barani Afrika.

Ushiriki wake katika majukwaa hayo unatajwa kuwa sehemu ya jitihada za Tanzania kuimarisha diplomasia ya uchumi na kufungua fursa mpya za uwekezaji na maendeleo ya taifa.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati akitokea Dubai, tarehe 06 Februari, 2026.

HOTUBA NZITO ya WAZIRI MKUU MWIGULU AKIAHIRISHA BUNGE – ATOA MALENGO na MIKAKATI ya SERIKALI

 

The post Rais Samia Arejea Kutoka Mkutano wa Dunia wa Serikali appeared first on Global Publishers.



Prev Post Walid Aandika Barua ya Kujiuzulu Kuifundisha Timu ya Taifa Morocco
Next Post Balozi Mwamweta na RC Mtaka Wasaka Soko la Parachichi Ujerumani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook