

Mohammed bin Salman Al Saud, maarufu kama MBS, ni Mwana Mfalme wa Saudi Arabia na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa zaidi nchini humo. Tangu kupanda kwake madarakani mwaka 2017, amekuwa uso wa mabadiliko makubwa yanayoibadili Saudi Arabia kijamii, kiuchumi na kimataifa lakini pia chanzo cha mjadala mzito kuhusu mamlaka, haki za binadamu na gharama ya mageuzi.
The post Mfahamu Mohammed bin Salman (MBS) Mkombozi wa Saudi Arabia Mpya Mkono wa Chuma – Video appeared first on Global Publishers.






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!