Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Katibu Mkuu wa CCM Katika Mkutano wa Rais Samia na Wazee wa Dar es Salaam

  • 87
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro ameshiriki mkutano wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), leo Jumanne,Desemba 2,2025 Jijini Dar es Salaam.

Katika Mkutano huo maalum,mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan.

..Akisalimiana na wazee waliofika kwenye mkutano huo.

The post Katibu Mkuu wa CCM Katika Mkutano wa Rais Samia na Wazee wa Dar es Salaam appeared first on Global Publishers.



Prev Post Nafasi 66 za Ajira Serikalini
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 03, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook