Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Ruto apigia debe utawala wake. Katika Dira ya Dunia TV

  • 30
Scroll Down To Discover

Rais wa Kenya William Ruto amesema Kenya imepiga hatua za kuridhisha katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita akiwa madarakani, lakini nchi haifanyi vizuri kama inavyostahili. Akihutubia kikao cha pamoja cha bunge la kitaifa na seneti katika hotuba yake ya kila mwaka, rais Ruto aliangazia mafanikio muhimu ya utawala wake katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu, afya, mradi wa nyumba nafuu na teknolojia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post USIMAMIZI WA BoT WAZIBA MIANYA YA DHULUMA NA UTAPELI KWENYE VIKUNDI/VIKOBA
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 21,2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook