Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polisi Kuwasaka Waliomuua Mc Pili Pili

  • 18
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limethibitisha kifo cha Mshereheshaji na Mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias (MC Pilipili), mkazi wa Swaswa, aliyefariki Novemba 16, 2025 majira ya saa 9 alasiri katika Hospitali ya Ilazo.

Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) William Abel Mwamafupa ametoa taarifa hiyo leo Novemba 19, 2025 jijini Dodoma.



Prev Post Rais Samia Amteua Lazaro Nyalandu Kuwa Balozi
Next Post Kihongosi: Chama Kitaimarisha Usimamizi wa Utekelezaji wa Ilani – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook