Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Akabidhiwa Ofisi na Kassim Majaliwa

  • 13
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.

Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

 



Prev Post Waendesha Bodaboda Watakiwa Kuepuka Vitendo Vya Uhalifu
Next Post Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri, Orodha Ipo Hapa – (Picha +Video)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook