Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Tchiroma ampa Biya na Serikali Yake Saa 48 Kuachilia Huru Wafungwa wa Kisiasa

  • 10
Scroll Down To Discover

Yaoundé, Cameroon – Issa Tchiroma Bakary, mgombea wa upinzani ambaye pia amejitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais, amempa Rais Paul Biya na serikali yake masaa 48 kuachilia huru watu wote waliokamatwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 12.

Tchiroma ametoa onyo hilo huku akipinga rasmi matokeo ya uchaguzi, akisema Wakameruni watalazimika kuchukua hatua wenyewe iwapo wafungwa hao hawataachiliwa. Hii inajiri baada ya kipindi cha ukimya wake usio wa kawaida kwa siku kadhaa.

Ripoti za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa watu 48 wamepoteza maisha katika ghasia za baada ya uchaguzi, huku Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ikiripoti kuwa zaidi ya watu 1,200 wamekamatwa.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOBEMBA 11, 2025
Next Post TLS kutoa msaada wa kisheria bure kwa watuhumiwa wa matukio ya Uchaguzi 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook