Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Msikilize Wakili Kibatala Akifanua Mashtaka yanayomkabili Niffer

  • 16
Scroll Down To Discover

Mfanyabiashara na mtangazaji wa mitandaoni, Jenifer Bilikwiza Jovin maarufu Niffer, amepewa mashtaka ya uhaini na kusomewa mahakamani, hatua inayohusiana na vurugu zilizotokea kabla na wakati wa uchaguzi mkuu. Niffer alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na washitakiwa wengine 21, ambapo serikali ilimsomea mashtaka matatu yanayohusiana na njama za pamoja za kuharibu utaratibu wa uchaguzi.

Msikilize Wakili Peter Kibatala akifafanua kwa kina mashtaka yanayomkabili mfanyabiashara Jennifer Jovial almaarufu Niffer hapa chini



Prev Post Jeshi la Polisi: Gwajima, Mnyika, Lema na Wengine Watajwa Kwenye Orodha ya Wanaosakwa
Next Post Mkutano Wa SADC Wampongeza Rais Samia Kwa Ushindi Katika Uchaguzi Mkuu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook