Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Mwinyi Amuapisha Mwanasheria Mkuu Wa Zanzibar

  • 8
Scroll Down To Discover

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Hafla ya uapisho imefanyika leo tarehe 6 Novemba 2025, Ikulu, Zanzibar.

Dkt. Mwinyi Talib Haji ameteuliwa tena kushika nafasi hiyo baada ya kuitumikia katika kipindi kilichopita.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla, Mhandisi, Zena Ahmed Said, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Dini.

 



Prev Post Washiriki Kili Marathon 2026 Watakiwa Kujiandikisha kwa Wakati
Next Post Trump Amchimba Mkwara Meya Mpya wa New York, Zohran Mamdani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook