Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Gamondi Atangaza Kikosi cha Taifa Stars Kwaajili ya Mechi Dhidi ya Kuwait

  • 8
Scroll Down To Discover

Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, ametangaza kikosi kitakachoingia kambini kuanzia Oktoba 10, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchezo huo wa kirafiki utafanyika Oktoba 14, katika mji wa Cairo, nchini Misri.

Gamondi amesema maandalizi hayo ni sehemu ya kujenga muunganiko mzuri wa wachezaji na kuongeza ushindani kuelekea michezo ya kufuzu Kombe la Dunia na AFCON ijayo.

Taarifa kamili ya majina ya wachezaji walioteuliwa inatarajiwa kutolewa na TFF hivi karibuni.



Prev Post Mustakabali wa Tanzania baada ya uchaguzi, maandamano na maafa, katika Dira ya Dunia TV
Next Post Tofauti Kati ya 3G, 4G na 5G Je, Unajua Uwezo wa Kila Moja? Soma Hapa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook