Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Watanzania waomboleza wapendwa wao waliouawa wakati wa maandamano, katika Dira ya Dunia TV

  • 6
Scroll Down To Discover

Tangu vurugu za maandamano kufuatia uchaguzi mkuu nchini Tanzania, majonzi na hofu vimeendelea kutawala katika baadhi ya familia. Baadhi ya familia zimeelezea kupoteza wapendwa wao katika mazingira ya sintofahamu. Wengine wamethibitisha kuuawa, lakini wengine hadi leo bado hawajui ndugu zao wako wapi, hai ama wamekufa licha ya kutafuta hospitali, mochwari na vituo vya polisi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Rais Dkt. Samia Aapishwa Kuendelea Kuongoza Tanzania
Next Post Ligi Kuu Tanzania Bara Kurejea Wikiendi Hii Baada ya Kusimama kwa Muda
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook