Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt.Samia amteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

  • 43
Scroll Down To Discover

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Novemba 3, 2025, imesema Mheshimiwa Johari ataapishwa kesho Jumatano ya Novemba 5, 2025 saa nne asubuhi katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.



Prev Post Rais Samia aapishwa, SADC ikisema uchaguzi ulikuwa na dosari, katika Dira ya Dunia TV
Next Post Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Amshukuru Dkt. Mpango kwa Mchango Mkubwa Katika Awamu ya Sita
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook