Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ametambuliwa kama shujaa kwenye hafla ya kuwakumbuka 'mashujaa' waliojitoa muhanga kwa ajili ya kupigania taifa kwa njia moja au nyingine. Rais William Ruto, alimpokeza Raila heshima ya juu kabisa inayopawa raia wa Kenya.
#railaodinga #kenya #bbcswahilileo #bbcswahili #bbcswahili
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!