Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ameaga dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Rais William Ruto mapema leo, Raila alifariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Devamatha iliypo mjini Keralla nchini India.
#RailaOdinga #Kenya #bbcswahili
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!