Siku moja baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalitoa fursa ya kuachiliwa kwa mateka 20 wa Israel waliokuwa hai, na mamia ya wafungwa wa Kipalestina ili kuungana na familia zao, kuna wasiwasi kuhusu hatua inayofuata kwa Gaza.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!