Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Farid Musa Asifiwa kwa Utu na Unyenyekevu Nje Soka, Ajenga Msikiti – Video

  • 4
Scroll Down To Discover

Jirani wa karibu na Msikiti Masjid Aisha, uliopo karibu na eneo la mchezaji wa Yanga SC, Farid Musa Malik, amemuelezea nyota huyo kama mtu wa mfano katika jamii.

Heneriko, jirani anayejulikana katika eneo hilo, amesema kuwa Farid Musa haishi kistaa wala kujivuna. Badala yake, ni mtu anayependa kushirikiana na watu wa karibu naye na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii. “Ni mtu anayependa kusaidia wenzake bila kujali umaarufu wake,” amesema Heneriko.

Taarifa hii inatoa picha halisi ya maisha ya Farid Musa nje ya uwanja wa soka, akionyesha utu wake wa dhati na moyo wa kusaidia jamii.

Video full ipo YouTube ya Global TV

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Rais wa Madagascar Andry Rajoelina Ajificha Baada ya Jaribio la Kumuua
Next Post Viongozi wa CHADEMA Wakabiliwa na Kesi ya Jinai, Waitwa Mahakamani Jumatano
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook