Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mgombea Udiwani Wa Kata Ya Makurumla Achukua Fomu Ya Kuwania Udiwani

  • 33
Scroll Down To Discover

Mgombea udiwani wa Kata ya Makurumla ,Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkoani Dar es Salam, kupitia CCM Bakari Kimwanga leo Agosti 19,2025 amechukua fomu ya kuwania udiwani.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu amesema kuwa anaamini anakwenda kutekeleza ahadi zote alizoahidi huku akiwaomba wananchi ifikapo Oktoba 29, mwaka huu kumchagua kwa kura nyingi Rais  Dkt Samia Suluhu Hassan, Mbunge wa CCM na diwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).



Prev Post Trump na Zelenskyy Wakutana White House, Wajadiliana Amani ya Ukraine
Next Post Burkina Faso Yafukuza Afisa Mkuu wa UN Kufuatia Ripoti ya Ukiukaji wa Haki za Watoto
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook