Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais wa Madagascar atoroka kufuatia maandamano ya Gez Z, katika Dira ya Dunia TV

  • 6
Scroll Down To Discover

Hali ya wasiwasi inaendelea kutanda Madagascar usiku huu, huku ripoti zikisema kwamba huenda Rais Andry Rajoelina aliondoka nchini humo kwa kutumia helikopta ya kijeshi ya Ufaransa. Awali, vyombo vya habari vya Ufaransa viliripoti kuwa uhamisho huo wa Rais Rajoelina ulikubaliwa na Rais Emmanuel Macron, ingawa mamlaka za Ufaransa zimesema kuwa haziingilii mgogoro wa ndani wa Madagascar. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Dkt. Nchimbi: CCM ndio Chama Kilichojidhahirisha Kinaweza Kuhangaika na Matatizo ya Wananchi Wake
Next Post Tanzania Yashiriki Kongamano la Afya Duniani Jijini Berlin
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook