

Mwanadada Getruda Fedrick, anayejulikana zaidi kwa jina la Manka Chuga, amevutia hisia mitandaoni kutokana na aina yake ya kunywa vinywaji vikali kwa wakati mmoja pale anapokuwa katika eneo lake la kazi.
Global TV iliipata fursa ya kuzungumza naye na kuzungumzia hali hiyo, na Manka Chuga ameeleza kuwa tabia hii ya kunywa vinywaji vikali imechangiwa na mitandao ya kijamii, ambapo aliona mtu mwingine akifanya jambo kama hilo na kuhamasishwa.
Manka Chuga ameeleza zaidi kuwa hajawahi kulewa tangu nimeanza kunywa pombe.
Getruda Fedrick ni maarufu siyo tu kwa biashara yake ya vinywaji mbalimbali (Grosary) bali pia ana taaluma ya unesi (nursing).
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!