
Baba mmoja aitwaye Revocutus Dions, mkazi wa Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, amefika katika ofisi za Global TV akilalamika kuhusu ukatili wa kijinsia uliomkumba mtoto wake baada ya kudaiwa kubakwa na kijana mmoja alipokuwa ametumwa na mama yake.
Akizungumza na Global TV, Dions alisema mtoto wake kwa sasa haendi shule kutokana na mshtuko na maumivu aliyopata kufuatia tukio hilo la kikatili.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!