Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shangwe na nderemo, kwa matumaini ya kuisha kwa vita Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • 7
Scroll Down To Discover

Wapatanishi wa Israel na Hamas wamekubali awamu ya kwanza ya mkataba wa kusitisha mapigano huko Gaza. Makubaliano hayo yanaoungwa mkono na Marekani yalitiwa saini nchini Misri, na yatapelekea kuachiliwa huru kwa mateka wote wa Israel na kuachiliwa kwa wafungwa wa kipalestina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post TRA KAGERA YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Next Post Dkt. Nchimbi Aitikisa Nyamwage Rufiji Akiomba Kura za Dkt. Samia
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook