Hamas imekabidhi orodha ya majina ya mateka na wafungwa wa Kipalestina ili kubadilishana na mateka wa Israel waliopo Gaza, na imesema ina matumaini juu ya mazungumzo ya kumaliza vita huko Gaza. Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanalenga kuweka njia za kusitisha mzozo huo, kuondolewa kwa vikosi vya Israelikutoka Gaza na makubaliano ya kubadilishana wafungwa na mateka.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!