Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Donald Trump Aongoza Orodha ya Wagombea Tuzo ya Amani ya Nobel

  • 5
Scroll Down To Discover

Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kutangazwa rasmi kwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Rais wa Marekani, Donald Trump, anashika nafasi kubwa ya kushinda tuzo hiyo.

Tuzo ya Alfred Nobel inatolewa kila mwaka kwa wale ambao wamefanya kazi za kipekee duniani katika nyanja mbalimbali ikiwemo amani, mazingira, uchumi, sayansi na teknolojia.

Taarifa ya OLBG.com imeonyesha kuwa Donald Trump anaongoza kwenye orodha ya wagombea, huku Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, naye akitajwa kama mmoja wa wagombea muhimu.

Mshindi wa tuzo ya Nobel katika kitengo chochote hupokea zawadi ya Dola za Marekani milioni 1.2, pamoja na heshima ya kimataifa na sherehe maalumu ya kukabidhiwa tuzo hiyo.

Tuzo ya mwaka huu itatangazwa rasmi siku chache zijazo, na kuibua uvumi na mjadala mkubwa wa kisiasa na kimataifa kuhusu wagombea waliokumbuka zaidi.

SALEH JEMBE AFUNGUKA -“KOCHA WA YANGA HAFAI KUFUKUZWA – ELLIE MPANZU ANASTAHILI MUDA ZAIDI SIMBA”



Prev Post Saleh Jembe: Kwa Takwimu, Kocha wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Video
Next Post Aggy Baby Afichua Ukweli! Asema Poshqueeen Hajaolewa, Ile Ilikuwa Kiki Tu!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook