Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polepole Adaiwa Kutekwa, Polisi Waanza Uchunguzi

  • 34
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma, likieleza kuwa limeona taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ndugu wa Humphrey Polepole zikidai kuwa ametekwa na kwamba tayari limeanza kuzifanyia kazi taarifa hizo ili kupata ukweli.

Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi, imeeleza kuwa jeshi hilo bado linaendelea kumsubiri Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai ili atoe maelezo kuhusiana na tuhuma mbalimbali alizozitoa kwenye mitandao ya kijamii.



Prev Post BAADA YA MKAPA KUFUNGWA…SIMBA WAJIWAHI JESHINI….
Next Post WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2025: NMB YAAHIDI KUONGEZA UBUNIFU NA MASULUHISHO SHIRIKISHI
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook