Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt.Nchimbi Awanadi Wabunge wa Mkoa wa Dar

  • 8
Scroll Down To Discover

Picha za matukio mbalimbali za Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel  John Nchimbi akiwahutubia na kuwanadi baadhi ya Wagombea Ubunge wa mkoa wa Dar es Salaam, akiwemo Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni,Ndugu Abbas Tarimba pamoja na Madiwani,kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Biafra,leo Oktoba 01, 2025.

Dkt. Nchimbi anahitimisha kampeni zake leo kwa mkoa wa Dar es Salaam akifikisha mkoa wa 15 tangu kuzinduliwa kwa kampeni hizo Agosti 28,2025 jijini Dar na kuelekea mikoa mingine kusaka kura za ushindi wa kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).



Prev Post Dkt. Nchimbi Awahimiza Wafanyabiashara wa Machinga Complex Kumpigia Kura Dkt. Samia
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA REO OKTOBA 02 , 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook