Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Israel yaendeleza mashambulizi Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • 8
Scroll Down To Discover

Shirika la Msalaba Mwekundu linasema maelfu ya Wapalestina wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na kwamba kusitishwa kwa dhulma hizo ni suala "la lazima na la haraka”. Shirika hilo limesema litarejea katika mji wa Gaza” wakati hali itakapoimarika kuruhusu oparesheni zake kuendelea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post BAADA YA KUWA KOCHA WA SIMBA KWA MECHI 1….MOROCCO AFICHUA MAZITO..’MAZINGIRA MAGUMU’…
Next Post Kampuni ya Network Yashirikiana na Flydubai Kuzindua Malipo ya Simu kwa Wateja
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook