Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nilipoteza Wateja Wote, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinirudishia Biashara Na Wateja Wakubwa Zaidi

  • 4
Scroll Down To Discover

Wakazi wa mtaa walinishangaa sana walipoona biashara yangu ikifungwa kwa miezi mitatu mfululizo. Nilikuwa nimepoteza kila kitu. Wateja wangu wa kila siku walikuwa hawaji tena, rafu zilikuwa tupu, na akaunti yangu ya benki ilikuwa karibu sifuri.

Nilikuwa nimewekeza muda na pesa nyingi kwenye biashara hii ya kuuza vifaa vya nyumbani, lakini kila siku ilikuwa inaleta hasara badala ya faida. Kila nilipoamka asubuhi, nilijua nitarudi nyumbani na huzuni zaidi.

Nilianza kupokea maneno ya kunicheka kutoka kwa majirani na marafiki. Wengine walinambia niache biashara na nitafute kazi ya mshahara mdogo ili angalau nipate chakula cha familia yangu.

Nilihisi aibu kubwa na hata nilianza kufikiria kuuza mali chache zilizobaki ili kulipa madeni yangu. Siku moja nilipokuwa nimekaa dukani bila mteja hata mmoja kwa saa nne mfululizo, nilijua lazima nifanye jambo tofauti. Sikuwa tayari kuacha ndoto yangu ivunjike.SOMA ZAIDI



Prev Post Mfumo wa Kidijitali Kukusanya Taarifa za Matukio ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu
Next Post Majaliwa Mgeni Rasmi Mkutano Wa Wadau Wa Lishe
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook