
Nilikuwa shabiki mkubwa wa soka na kila wiki nilikuwa nabashiri mechi za EPL. Nilihisi najua kila kitu kuhusu ligi hiyo wachezaji, form ya timu, hata hali ya majeraha lakini kila mara nilipoweka bet, nilipoteza. Haikujalisha kama odds zilikuwa ndogo au kubwa, bahati ilikuwa haiko upande wangu.
Wiki zikawa miezi na nilijikuta nikipoteza pesa nyingi ambazo zingeweza kununua vitu muhimu kwa familia yangu. Nilianza kujihisi mpumbavu, na hata marafiki zangu walinitania kwamba mimi ndiye “sponsor” wa kampuni za betting.
Nilikuwa nimefika hatua ya kuacha kabisa, lakini moyoni nilijua lazima kuna kitu kilichonizuia kushinda. Nilihisi kama mkosi ulikuwa unanitafuta kila mara ninapobashiri.SOMA ZAIDI…
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!