Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Nchimbi Atikisa Kampeni Mwenbe Yanga jijini Dar

  • 4
Scroll Down To Discover

 

MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Joh Nchimbi leo Septemba 28,2025 amefanya mkutano mkubwa wa kampeni katika Uwanja wa Mwenbe Yanga jijini Dar es Salaam.
Katika mkutano huo,Dkt.Nchimbi pia alipata nafasi ya kuwanadi baadhi ya wagombea Ubunge wa mkoa huo akiwemo Mbunge wa jimbo la Temeke,Ndugu Mariam Kisangi pamoja na Madiwani.
Dkt.Nchimbi ni Mgombea mwenza wa Dkt Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 wakipeperusha bendera ya CCM.

Mpaka sasa mkoa wa Dar es Salaam unakuwa wa 15 kufikiwa na Dkt Nchimbi katika kusaka kura za ushindi wa Kishindo za Mgombea Urais wa chama hicho Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge pamoja na Madiwani.







Prev Post Elimu ya Usalama na Afya Kazini Yawafikia Wasioona Pwani na Dar
Next Post Nafasi 24 za Ajira Serikalini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook