Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wasira Aungana na Dkt. Nchimbi Katika Mazishi ya Abbas Mwinyi

  • 3
Scroll Down To Discover

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira ameungana na Mgombea mwenza  wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi na viongozi mbalimbali kushiriki mazishi ya Mtoto wa Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi, Abbas Ali Mwinyi yaliyofanyika Bweleo Zanzibar.

Mbali na kushiriki mazishi hayo, Wasira alitoa pole kwa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali ambaye ni ndugu wa marehemu Abbas Mwinyi.

Abbas Mwinyi alifariki dunia jana mjini unguja, na maziko yake yamefanyika leo Bweleo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali.



Prev Post Mwanaridha Simbu Atoboa Siri ya Ushindi Riadha Tokyo, Aelekeza Shukrani NBC Dodoma Mathon
Next Post Kulitambua taifa la Palestina ni 'wazimu mtupu' asema Netanyahu, katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook