Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Nchimbi Alivyohitimisha Kampeni Zake Mkoa wa Njombe

  • 8
Scroll Down To Discover

Matukio mbalimbali katika picha za mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi uliofanyika mjini Makambako, mkoani Njombe alipokuwa akihitimisha mikutano yake kampeni mkoani humo leo Septemba 24, 2025.
Mara baada ya kuwahutubia Wanachi katika mkutano huo,Dkt.Nchimbi pia alitumia nafasi hiyo kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Daniel Godfrey Chongolo pamoja na Madiwani.
Dk Nchimbi naendelea kusaka kura za Mgombea urais wa chama hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wabunge na madiwani pamoja na kunadi Ilani ya CCM ya mwaka 2025 – 2030












Prev Post TBL Yazindua Ripoti Yake ya Maendeleo Endelevu kwa Mwaka 2025
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEOTEMBA 25, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook