Mwanasiasa kinara wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine ameteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Hapo jana, Rais Yoweri Museveni alikuwa mgombea wa kwanza kuidhinishwa na tume ya uchaguzi kuwania tena kiti cha urais.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!