Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwa nini Ufaransa na Uingereza wamelitambua taifa la Palestina? Katika Dira ya Dunia TV

  • 2
Scroll Down To Discover

Ufaransa imetangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron pia ametoa wito wa kuwepo kwa jeshi la kimataifa linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa kutuliza hali katika ukanda wa Gaza baada ya vita. Kiongozi wa Palestina ametaka nchi nyingi zaidi kujitokeza na kufuata Ufaransa na Uingereza katika kulitambua taifa la Palestina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post HIZI HAPA TAMU & CHUNGU ZA FADLU NDANI YA SIKU 444 ZA FADLU AKIWA NA SIMBA…
Next Post Stanbic Yazindua Masta wa Miamala Kuzawadia Fedha Kila Siku
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook