Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Eric Shigongo Aanza Kampeni za Nyumba kwa Nyumba Buchosa

  • 1
Scroll Down To Discover

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni za nyumba kwa nyumba kutafuta kura za Dk. Samia Suhulu Hassan ili aendelee kuwatumikia Watanzania.

Kampeni hizo zimefanyika kwenye Kijiji cha Kakobe, Kata ya Kazunzu kabla ya uzinduzi wa kampeni kwenye kata hiyo zilizofanyika kwenye Kijiji cha Nyambeba jimbo la Buchosa.

Shigongo amewaomba Wanabuchosa washirikiane kwa pamoja kutafuta kura za rais kwa lengo la kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu.

 



Prev Post Taharuki Mikocheni: Mjane Avamiwa – Atimuliwa Na Wachina Kisa Deni La Milioni 150 La Marehemu Mumewe – Video
Next Post Hausiboi’ Kortini Akituhumiwa Kwa Shambulio La Aibu Kwa Mtoto
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook