Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

  • 34
Scroll Down To Discover

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

Mfumo wa Ajira wa Serikali ni Mfumo unaopokea Maombi Mbalimblai kila Siku kwa nafasi zinazotangazwa na sekretarieti ya ajira UTUMISHI na Utawala Bora.

Katika Makala hii utajifunza Jinsi ya Kujisajili Katika Tovuti ya Ajira Tanzania portal.ajira.go.tz na Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira, Kusajili Katika Tovuti ya Kuajiri Watumishi Mbalimbali nchini Tanzania, Ajira na Jinsi ya Kujisajili katika Mfumo wa Ajira Tanzania.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha Serikali chenye hadhi ya Idara inayojitegemea iliyoanzishwa mahususi kuwezesha mchakato wa Kuajiri Watumishi katika Utumishi wa Umma.

Ajira Portal ni mfumo ulioanzishwa na Serikali kwaajili ya kuchakata kwa urahisi Utangazaji na kuajiri watu katika Utumishi Wa Umma.

Zifuatazo ni hatua za kufuata ili kujisajili katika Ajira Portal (UTUMISHI).

Aidha unaweza kutazama matangazo na kuomba ajira zinazotangazwa na sekretarieti husika Kwa kufuata hatua zifuatazo;

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

Chagua Tangazo la ajira unayotaka kuomba kisha bonyeza Login to Apply iliyoko kulia au chini ya tangazo.

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

Kama una-account (umejisajili) Ingiza Email na Password yako kutuma maombi.

Ikiwa huna account, hujawahi kujisajili Bonyeza “REGISTER”
JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

Jaza taarifa zako vema (Email ambayo unakumbuka password yake), Jaza Password (neno la siri utakalokumbuka kwa urahisi lakini lisiloweza kufikirika kwa urahisi na mtu mwingine)

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Kupitia Ajira Portal

Utapata Ujumbe ufuatao hapa chini

Registration Success

You have successfully registered with Recruitment Portal. An email has been sent to you with instructions on how to activate your account.

Please check your email and follow the instructions in order to start using your account.

Thanks”

Ingia kwenye email yako kisha fuata maelekezo yaliyotumwa huko

Baada ya hayo yote Bonyeza Login to Apply.

Aidha Waombaji wa Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details.

Mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako.

Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 16, 2025
Next Post NAFASI Za Kazi Serena Hotels
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook