Download | ALIPOTEZA KILA KITU, HATA UTAMBULISHO WAKE PART 2 AND 3 - SPIDERMAN | Recap
PART ONE :https://youtu.be/6QRusx2rz-A MOVIE NAME : SPIDERMAN PART 2 and 3 ( TOM HOLLAND) CHAPTERS 00:00 - Nick Fury achunguza janga la ajabu Mexico na Peter aanza safari ya Ulaya 03:06 - Mysterio afichua siri ya Elementals na Fury ampatia Peter miwani ya EDITH 06:08 - Spider-Man na Mysterio wapambana na Fire Elemental jijini Prague 07:59 - Peter amkabidhi Mysterio mfumo wa EDITH na usaliti wafichuka 10:42 - Peter agundua ukweli wa Mysterio na kushambuliwa Berlin 13:21 - Happy Hogan amwokoa Peter na maandalizi ya vita vya mwisho London 15:17 - Spider-Man amshinda Mysterio na kuokoa London 19:29 - Mysterio afichua utambulisho wa Spider-Man kwa dunia 22:23 - Doctor Strange aanza uchawi wa kufuta kumbukumbu za dunia 25:00 - Maadui kutoka Multiverse waanza kujitokeza 30:54 - Spider-Men watatu waungana kupambana na maadui wote 35:09 - Uchawi wa mwisho wafuta kumbukumbu za Peter Parker na simulizi kuhitimishwa SUBSCRIBE CHANELI HII (KWA HESLB,VYUO,RITA) https://youtube.com/@MishanSpecial?si=0U0bSFgXfXZCpEA- ⚠️DISCLAIMER Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE. FOLLOW US: TIKTOK; KICHA TV FACEBOOK: KICHA TV INSTAGRAM KICHA TV IF YOU FEEL YOUR RIGHTS ARE VIOLATED EMAIL ME Email : dagaa021@gmail.com AND I WILL KINDLY TAKE DOWN THE VIDEO. SPIDER-MAN: FAR FROM HOME inaanza baada ya matukio ya Avengers: Endgame, ambapo Peter Parker anajaribu kuendelea na maisha yake ya kawaida huku akihuzunika kifo cha Tony Stark. Akiwa kwenye safari ya shule barani Ulaya, anakutana na Mysterio, shujaa anayejifanya kuokoa dunia dhidi ya viumbe hatari wanaoitwa Elementals. Peter anamwamini na hata kumpa miwani ya EDITH aliyoachiwa na Tony Stark, lakini baadaye anagundua kuwa Mysterio ni tapeli anayatumia teknolojia ya drones na hologramu kuwadanganya watu. Peter anafanikiwa kumshinda Mysterio, lakini kabla hajafa, Mysterio anaacha video ya kumchafua Spider-Man na kufichua utambulisho wake kwa dunia nzima. SPIDER-MAN: NO WAY HOME inaanza pale ambapo maisha ya Peter yanageuka kuwa magumu baada ya kila mtu kujua yeye ndiye Spider-Man. Akitafuta suluhisho, anaomba msaada wa Doctor Strange, lakini uchawi unaenda kombo na kufungua milango ya ulimwengu mbalimbali (Multiverse). Hali hiyo inaleta maadui hatari kutoka ulimwengu mwingine pamoja na Spider-Man wengine wawili. Peter analazimika kupigana nao huku akijifunza maana halisi ya kujitolea. Mwishoni, ili kuokoa ulimwengu, anakubali uchawi mpya unaofanya kila mtu duniani kumsahau kabisa Peter Parker, akibaki peke yake bila mtu yeyote kumkumbuka, hata marafiki zake wa karibu MJ na Ned. Hivyo, safari iliyoanza kwa kufichuliwa kwa utambulisho wake katika Far From Home inaishia kwa dunia nzima kumsahau kabisa katika No Way Home. #movie #avengers #drama #film #Marvel #MarvelStudios #MCU #InfinityWar #Endgame #MovieRecaph











Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!