Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Yanga Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mchango wa CCM wa Shilingi Milioni 100

  • 5
Scroll Down To Discover

Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na GSM Foundation inayosimamiwa na mdhamini wa klabu, Ghalib Said Mohammed, na haukutoka kwenye hela za wanachama au mfuko wa klabu.

Yanga pia imesema radhi kwa wanachama na mashabiki kwa sintofahamu iliyotokea kutokana na taarifa hiyo.



Prev Post Nchi za Kiarabu Zashambulia Kauli ya Upanuzi wa Mipaka ya Israel
Next Post Rais Samia Awapa Pole Waathirika wa Ajali ya Mgodi Shinyanga
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook