Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Maadhimisho Ya Miaka 10 Ya WCF

  • 39
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katik maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Maadhimisho hayo yana lengo la kutathmini mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka kumi, kuonesha mshikamano kati ya wadau na kuweka mikakati ya kuboresha huduma za fidia kwa wafanyakazi nchini.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni Miaka kumi ya Fidia kwa Wafanyakazi-Kazi Iendelee



Prev Post Shigongo: Umoja Ndio Njia Pekee ya Kuinua Buchosa
Next Post GEITA: Afisa Mtendaji wa Kijiji na Raia Wenzake Wakamatwa kwa Tuhuma za Mauaji – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook