
NAFASI Za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
NAFASI Za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
Equity Bank Tanzania Limited ni benki ya biashara nchini Tanzania na ya pili kwa uchumi mkubwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
Benki hii ni mwanachama wa Equity Group Holdings Limited ambalo ni shirika kubwa la huduma za kifedha , lenye makao yake makuu Nairobi, Kenya, na matawi yake nchini Kenya , Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na ofisi ya mwakilishi nchini Ethiopia.
Equity Bank Tanzania Limited inawaalika Watu wenye nia ari na sifa stahiki kuomba nafasi Mbalimbali zilizotangazwa hapa chini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!