Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO….

  • 32
Scroll Down To Discover

Moto kuwaka vikali leo kwenye fainali ya nguvu kabisa ambayo itawakutanisha Real Betis dhidi ya Chelsea. Kila timu inataka ushindi kwa hali na mali leo huku Meridianbet ikikwambia kuwa wewe suka jamvi na ushinde hapa.

Vijana hao wa Stamford Bridge chini ya kocha mkuu Enzo Maresca watarajiwa kushuka dimbani siku ya leo kupambania Kombe hilo ambalo hawajawahi kulichukua kwani tayari kwenye yale makombe yote makubwa ya Ulaya wameshachukua, ikiwemo Kombe la UEFA, EUROPA, SUPER CUP hivyo leo hii wanaenda kuandika historia nyingine.

Chelsea ambao wanashiriki ligi kuu ya Uingereza EPL wamemaliza nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi huku tayari wakiwa wameshapata nafasi ya kushiriki UCL msimu ujao baada ya kushinda mechi ya mwisho.

Mechi ya fainali ya Conference league Real Betis vs Chelsea kukupatia maokoto leo. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Real Betis ambao wanakipiga kule LALIGA wao wamemaliza nafasi ya 6 huku wakiwa hawajawahi kuchukua Kombe lolote lile la Ulaya hivyo leo hii nao wnaataka Kombe hili waandike historia yao.

Meridianbet wamempa Chelsea nafasi kubwa ya kushinda mechi hii ya leo kwa ODDS 1.95 kwa 4.30. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. Jisajili na usuke jamvi sasa.

Betis chini ya kocha mkuu Manuel Pellegrin kwenye mechi zao 5 za mwisho kwenye mashindano yote wametoa sare mechi moja pekee na kupoteza mechi moja, huku The Blues wao mechi 5 za mwisho ameshinda 4 na kutoa sare 1.

Timu hizi mara ya mwisho kukutana, ilikuwa mwaka 2005 kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa ambapo mechi ya kwanza Chelsea walishinda 4-0, na mechi ya pili Betis walishinda 1-0, yaani kila mtu alishinda mechi ya nyumbani kwake.

Ikumbukwe kuwa Betis walimchukua Antony kwa mkopo kutoka Manchester United ambaye mpaka sasa akifunga magoli 9 na assist 5 ndani ya klabu hiyo, hivyo akiwa ni mchezaji wa kuchungwa sana leo.

Pia mteja wa  meridianbet loe hii unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa

Kwa upande wa Blues wao wana wachezaji wenye uzoefu mkubwa huku wengine ikiwa leo hii ndiyo fainali yao ya kwanza akiwemo Cole Palmer, Enzo, Caicedo, Neto Cucurella na wengine.

Mara ya mwisho Chelsea kuchukua Kombe la Ulaya ilikuwa mwaka 2022, ambapo ilikuwa kombe la FIFA CLUB WORLD CUP baada ya kuifunga Palmeiras ya Brazil. Lakini baada ya hapo Chelsea walifika fainali ya Carabao na walipoteza mbele ya Liverpool.

Je leo hii nani kubeba kombe hili ni Uingereza au Hispania?. Bingwa mtetezi wa kombe hili ni Olympiacos.

The post BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post BAADA YA KUKOSA UBINGWA WA CAF….MANULA AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA MALENGO…
Next Post Rais Samia Atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshma na Bunge la Tanzania, Afisa Mtendaji Mkuu wa Nmb Ashiriki..
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook