Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Chukua Chako Mapema na Meridianbet Leo

  • 31
Scroll Down To Discover

Siku ya leo ni nzuri kabisa mpendwa mteja wa Meridianbet kwa wewe kutengeneza mkwanja wako leo. Mechi za ushindi zinakusubiri wewe pekee, hivyo bashiri na uibuke bingwa leo.

Ligi kuu ya Hispania LALIGA inataajiwa kuendelealeo hii ambapo kwenye viwanja mbalimbali mechi zitapigwa, Real Madrid atakipiga dhidi ya Real Sociedad ambao wapo nafasi ya 11. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Carlo Ancelotti na vijana wake kwa ODDS 1.43 kwa 6.60. Je beti yako wewe unaiweka wapi?. Bashiri hapa.

Naye Espanyol Barcelona baada ya kupoteza mechi iliyopita leo hii atamenyana dhidi ya Las Palmas ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 8.60 kwa 1.37. Mwenyeji anahitaji ushindi leo ili asishuke daraja. Lakini je atafanikiwa?. Jisajili na ubashiri hapa.

Mtanange mwingine utakuwa wa Rayo Vallecano dhidi ya RCD Mallorca huku tofauti yao ikiwa ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi hivyo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi nyumbani. Mechi hii imepewa ODDS 1.55 kwa 6.60. Tengeneza jamvi hapa.

Nafasi ya kuwa mshindi na Meridianbet unayo leo, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Kwa upande wa Getafe yeye ataumana vikali dhidi ya RC Celta Vigo huku nafasi ya kuondoka na ushindi akipewa mgeni kwa ODDS 1.95 kwa 4.10. Takwimu zinaonesha kuwa mchezo wa mkondo wa kwanza walipokutana, mwenyeji alipigika. Nani unampa pesa yako akutajirishe leo?. Suka jamvi hapa.

CA Osasuna baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Deportivo Alaves ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Wote wanahitaji kumaliza ligi kwa ushindi leo. Je nani kuondoka kifua mbele?. Bashiri mechi hii ODDS zake ni 3.25 kwa 2.40.

Vilevile kule Italia SERIE A kuna mechi kadhaa zitapigwa Bologna atakiwasha dhidi ya Genoaambao wanashika nafasi ya 13, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.00. Suka jamvi hapa.

AC Milan atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya AC Monza mabao ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Mechi ya kwanza kukutana, Milan aliondoka na ushindi mwembamba ugenini. Leo hii yupo nyumbani kusaka uhsindi muhimu kabisa. ODDS za mechi hii ni 1.30 kwa 9.00, vileile machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Kule Ufaransa kutakuwa na fainali ya Coupe de France kati ya bingwa mtetezi wa ligi PSG dhidi ya Stade Reims. Ikumbukwe kuwa vijana wa Enrique wanataka Treble msimu huu huku pia bado wakiwa na fainali ya UEFA mwisho wa mwezi huu. Mechi ya leo ni muhimu sana kwao, lakini pia Reims wanahitaji kombe hili. Paris kushinda ana ODDS 1.17 kwa 17. Jisajili hapa.

Kule Ujerumani pia kuna fainali ya DFB POKAL kati ya Arminia Bielefeld dhidi ya VFB Stuttgart. Ikumbukwe kuwa Armia anashiriki ligi daraja la 3 kule Ujerumani huku Stuttgart yeye akishiriki ligi kuu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 6.20 kwa 1.50. Wewe unaweka wapi beti yako?. Tandika jamvi hapa.



Prev Post Madereva Wa Serikali Arusha Wapatiwa Mafunzo Kujengewa Uwezo
Next Post KAPOMBE:- TUTAKACHOWAFANYA HAWATAAMINI KAMA WAKO KWA MKAPA 😎😎😎….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook