Je!, Mgogoro wa Sudan Ulianzia Wapi.

  • 97
Scroll Down To Discover

Mgogoro wa Sudan unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa" na sasa vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye mji wa El Fasher, mji mkuu wa Kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa nchi.

Wiki iliyopita, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilisema kuwa watu 70 waliuawa katika shambulizi lililotekelezwa na waasi wa RSF katika hospitali ya mji huo.

Lakini je mgogoro huu ulianzia wapi na wahusika wakuu ni nani? Munira Hussein anaeleza zaidi



Prev Post DUNE {part 1} (2021)
Next Post FREE GUY (2021)
Related Posts

Hakuna makala zinazohusiana kwa sasa.

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook