Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Silvia Sigula na Jacqueline Mzindakaya Watinga Ubunge wa Viti Maalum CCM

  • 42
Scroll Down To Discover

Jacqueline Mzindakaya, kada maarufu wa CCM mkoani humo, aliyepata kura 434.

RUKWA – Katika mchakato wa kura za maoni za Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Rukwa, Silvia Sigula ameibuka mshindi kwa kupata kura 494, akifuatiwa na Jacqueline Mzindakaya, kada maarufu wa CCM mkoani humo, aliyepata kura 434.

Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM, nafasi ya kwanza na ya pili kwa kura za maoni kupitia UWT katika mikoa hujipatia nafasi ya kuteuliwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum, hivyo wawili hao wanatajwa kuwa washindi wa tiketi ya ubunge kupitia mkoa wa Rukwa kwa uchaguzi mkuu wa 2025.

Matokeo Kamili ya Wagombea 8 ni kama ifuatavyo:

Silvia Sigula – 494

Jacqueline Mzindakaya – 434

Bupe Nelson – 220

Agripina Mizinga – 173

Annastela Malaji – 85

Lucy Herman – 17

Dorice Bakari – 15

Agatha Daniel – 11



Prev Post Shinda Kila Mzunguko, Spinoleague 2025 Yaja Kwa Kishindo
Next Post Regina Ndege Aibuka Mshindi Kura za Maoni Viti Maalum CCM Manyara
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook