Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Meridianbet Inamaliza Mwezi kwa Kishindo, Simu Tano za Galaxy A25 Kutolewa

  • 50
Scroll Down To Discover

Julai inaelekea ukingoni, na kwa mashabiki wa burudani ya michezo mtandaoni, huu si mwezi wa kuumaliza kwa kawaida. Kampeni kubwa kutoka Meridianbet iko hatua ya mwisho, na sasa umesalia na siku mbili tu kushiriki katika droo ya pekee kabisa ambayo inaweza kukuzawadia Samsung Galaxy A25 mpya. Si moja tu, bali kuna simu tano zinazogawiwa kwa washindi.

Kwa wale waliokuwa kwenye mstari wa mbele tangu mwanzo, Julai imekuwa mwezi wa nafasi, msisimko na matumaini. Tangu tarehe 1 Julai 2025, Meridianbet imewaruhusu wateja wote waliosajiliwa kutumia app au tovuti yao kuingia moja kwa moja kwenye droo ya zawadi kwa njia rahisi, weka dau, cheza, na tiketi yako ya ushindi itahesabiwa kiotomatiki.

Ni promosheni iliyoundwa kwa uwazi, bila masharti tata wala vizingiti vya kuchosha. Kila beti unayoiweka kwenye mechi au kasino inaongeza nafasi zako. Na kizuri zaidi ni kwamba hata beti ya kiasi kidogo kabisa ina nafasi sawa ya kushinda.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kwa Nini Ushiriki Sasa? Sababu ni moja tu kubwa, muda unakimbia. Iwapo hujachangamkia nafasi hii hadi sasa, basi fahamu kwamba masaa ya kuingia kwenye droo hii yanahesabika. Tarehe 31 Julai ndio mwisho wa kila kitu na ifikapo tarehe 1 Agosti 2025, washindi wa Samsung Galaxy A25 watatangazwa. Jina lako linaweza kuwa miongoni mwao lakini tu kama umechukua hatua kabla dirisha kufungwa.

Kwa wale waliokwisha weka dau, ni muda mzuri wa kuongeza nafasi zaidi. Kadri unavyocheza mara nyingi, ndivyo unavyojiweka katika nafasi nzuri ya kuchaguliwa. Hii ni mbio za bahati na juhudi, na wachezaji wote wana nafasi sawa.

Galaxy A25 imeundwa kwa teknolojia ya kiwango cha juu, ikijumuisha kamera bora kwa ajili ya picha na video, betri linalodumu kwa muda mrefu, na muundo wa kuvutia unaoendana na maisha ya sasa. Simu hii inaweza kuwa yako bure kabisa, kwa kufanya kile ambacho tayari unapenda, kubashiri michezo au kucheza kasino mtandaoni.

Ni muhimu kufahamu kuwa si kila aina ya beti inakupa tiketi ya droo. Beti zilizowekwa kupitia Turbocash au system tickets hazitahesabiwa. Hakikisha unaweka dau lako kwa njia ya kawaida kupitia tovuti au app ya Meridianbet.

Huu si wakati wa kujiuliza maswali mengi. Huu ni wakati wa kuchukua hatua. zimebaki siku mbili tu, na nafasi yako ya kutoka na zawadi ya maana iko mezani. Simu tano za Samsung Galaxy A25 ziko tayari kwa wamiliki wapya. Je, jina lako litasomwa tarehe 1 Agosti?



Prev Post Hersi Said Aachwa Nje! CCM Yateua Wagombea Sita Kigamboni
Next Post Hato Akamilisha Dili Na Chelsea Majira Haya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook