
NAFASI Za Kazi United Bank for Africa (UBA)
NAFASI Za Kazi United Bank for Africa (UBA)
UBA Tanzania, United Bank for Africa (UBA) Plc ni Benki ya Dunia ya Afrika ambayo inaendesha matawi nane (8) katika miji ya Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Arusha na Rufiji, ikitoa huduma za kibiashara na rejareja kwa wateja kote nchini.
UBA inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!