
Meridianbet wameleta habari njema kwa mashabiki wa kubashiri michezo nchini Tanzania. Kupitia ubunifu wa hali ya juu, sasa huduma mpya ya Early Payout imezinduliwa rasmi, na inapatikana kwa wateja wote wa Meridianbet. Huduma hii ni hatua ya kimapinduzi katika kubashiri, kwani inakupa nafasi ya kushinda mapema kabla hata mechi haijamalizika, mradi tu timu yako iongoze kwa mabao mawili.
Kwa lugha rahisi, Early Payout inamaanisha kuwa ukibashiri timu fulani kushinda na ikafanikiwa kuongoza kwa magoli mawili dhidi ya mpinzani wake, tayari beti yako inahesabiwa kama imeshinda, hata kama mchezo bado unaendelea na matokeo yakabadilika baadaye. Hii ni habari njema kwa wapenzi wa soka ambao mara kwa mara hupoteza ushindi kwa sababu ya matokeo ya dakika za mwisho.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Huduma hii kwa sasa inapatikana kwa mechi za mpira wa miguu pekee, hasa zile kutoka kwenye ligi maarufu duniani kama English Premier League, La Liga, Serie A, Bundesliga na nyinginezo. Hata hivyo, Meridianbet wameshatangaza kuwa wako kwenye hatua za mwisho za kuiwezesha huduma hii pia kwa michezo mingine kama mpira wa kikapu, tenisi na ice hockey. Hii inaashiria kuwa Meridianbet wanaendelea kupanua wigo wa kubashiri kwa njia za kisasa na zenye tija kwa wachezaji.
Huduma ya Early Payout inaendeshwa kwa urahisi mkubwa. Mechi zinazotoa nafasi hii huoneshwa kwa alama maalum ya rangi ya kijani, ambayo inaonekana kwenye orodha ya matukio (event list), tiketi yako ya kubashiri, na sehemu ya dau (bet slip). Mchezaji yeyote anaweza kuitumia huduma hii, na pia anaweza kuichanganya na aina nyingine za beti kama kombinesheni, pasipo kuathiri bonus anayostahili kupata.
Ni muhimu kufahamu kwamba Early Payout haipatikani kwenye mechi za live (zinazoendelea) kwa sasa, lakini bado unaweza kutumia huduma ya cash out kama mbadala. Pia, odds kwa beti za Early Payout ni kidogo kuliko zile za matokeo ya mwisho, kwa sababu tayari unalipwa ushindi mapema, yaani hatari imepunguzwa, hivyo na oddszinapunguzwa kidogo.
Kwa ujumla, kuja kwa Early Payout kunaleta msisimko mpya kwenye kubashiri. Wachezaji sasa hawalazimiki kusubiri hadi dakika ya 90 au kupigwa na butwaa kwa goli la kusawazisha la dakika ya mwisho. Ukiwa na Meridianbet, bao la pili kwa timu yako linaweza kuwa tiketi ya ushindi papo hapo.
Kwa hivyo, ikiwa wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mechi na unaamini kwenye uwezo wa timu zako, huu ni wakati wako wa kung’ara. Tembelea meridianbet.co.tz au ingia kwenye app sasa, tafuta mechi zilizo na early payout, na weka bet zako kwa ujasiri.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!