
Jirani wa marehemu Hazara almaarufu Ronaldo aliyekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake siku kadhaa zilizopita, amefanya mahojiano na Global TV na kumwaga machozi kwa uchungu.
Enzi za uhai wake, Hazara amewahi kupostiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump akiwa anapiga danadana.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!