Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Baba Atoa Kauli Nzito Kifo cha Wanandoa, Kuzikwa leo Wilaya ya Mwanga – Video

  • 19
Scroll Down To Discover


Evagli Ally, Baba mkubwa wa marehemu Antony Ngaboli aliyeuawa kikatili akiwa na mkewe, amezungumza na Global TV na kueleza kuwa hakuna wa kulipa kisasi kwa kifo cha Antony na mkewe, bali anaamini kuwa ni Mungu pekee atakayelipa haki hiyo.

Miili ya marehemu hao waliouawa kikatili inatarajiwa kuzikwa leo katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Video kamili ipo YouTube ya Global TV

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Baba Atoa Kauli Nzito Kifo cha Wanandoa, Kuzikwa leo Wilaya ya Mwanga – Video
Next Post TAA Yawahakikishia Wananchi Uaminifu Katika Usimamizi wa Viwanja 61 vya Ndege Nchini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook